kkarumekenge
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 1,708
- 1,029
Nauliza hivi kwa sababu kuna chama kipya cha siasa kimeanzishwa hapa Luchelele, Mwanza kinatafuta wanachama
Hivi alipata kura ngapi??
Ha! Ha! Haaaa !!!! Hebu jiongeze kidogo basi mkuu , tume si imeweka hesabu za kila mgombea bhana !Swali jema, tuliambiwa hata mia zisingefika, hebu wakuu wa huko tupasheni.