Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,589
- 272,331
- Thread starter
- #21
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! Ukiambiwa namna chadema ilivyomuokoa na kunyongwa shibuda hasa baada ya zile tuhuma za mauaji 2010 unaweza ukalia ! Asikudanganye mtu , malipo ya uovu ni hapahapa duniani .TADEA!!!!! Mbona Sijaona Hata Wagombea Wao Wa Udiwani Tu POPOTE Pale!!! Nasikia Amezindua Kampeni Last Sunday!!! Tehe! Tehe! Tehe!! Alidhani CCM Wangempa Misaada!! Alijipendekeza Kwao Kwa Kiasi Cha Kukidharirisha CHAMA Kilichompatia Nafasi Ya Kugombea Ubunge!!!! Ndio Kwishineiiii!!!!