Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,605
- 272,345
Taarifa za kampeni kutoka jimboni Maswa zinadokeza kwamba hali ya kisiasa ya mgombea ubunge wa Tadea ndugu Magale Shibuda ni mbaya mno , tetesi zaidi zinasema hana uhakika hata wa kupata kura 100 , hana uwezo hata wa kufanya kampeni , hakika laana ya usaliti ni kubwa na mbaya sana.