sasa mbona umechangia we kiazi kweli na leo ametangaza rasmi mkutanoni mwanza kuwa ataomba ridhaa ya CDM agombee urais 2015Threads kama hizi, hazina haja ya ku-comment, hizi ni za watu wasiopenda umoja wala ushindi wa mabadiliko.
Nawaomba waungwana wa JF muziepuke huu ni mtego wa kutaka tupoteze dhamira ya kufikiria mambo muhimu na tukae kujadiri mawazo ya mtu binafsi.
nawaomba tusimame tusake threads zenye kujenga na sio zenye kutupima akili.
Nilipoanzisha huu uzi mlinisosondaaaa sasa maneno yameanza kujiumba yenyeweeee Shibuda huyoo 4 presidency 2015 cdm washaanza mchakato wa kumteuaJohn Magale Shibuda ndiye chaguo la chadema kwa mgombea urais kwa 2015 vuguvugu linaloendelea sasa kwenye chama ni kumjengea uwezo wa kuhimili mikikimikiki ya upinzani maana ccm hakuna mikiki kama hii ingekuwepo jk angeufyata asingekuwa na nguvu kwakuwa yuko juu ya chama kwakuwa chama kingekuwa na rungu la kumuondoa madarakani.Big up Chadema na mgombea mnayemuandaa Shibudaaa!!!!