Shibuda: CCM isigeuze Polisi kuwa 'ICU' yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shibuda: CCM isigeuze Polisi kuwa 'ICU' yake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Msharika, Mar 8, 2011.

 1. M

  Msharika JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  True kabisa kilichowabia ni :blah:
   
 3. Diehard

  Diehard JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Shibuda anasoma mchezo anaweka 4-4-2 na badaye anabadili kuwa 4-3-3 huyu ni sawa na NDUMILA KUWILI, Hakuwepo maswa kwake kipindi cha maandamano
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  [FONT=&quot]Shibuda anatisha kwa semi zenye uzito: angalia hizi ...fikra mgando na mawazo mpauko, [/FONT][FONT=&quot]polisi lisivuliwe uzalendo wake wa kuwa nyenzo ya usalama wa raia na kuivisha ukaburu kwa kuziba ombwe na kukosekana nguvu za hoja kama mapigo ya kisiasa kupiku vyama vya upinzani;[/FONT][FONT=&quot]Polisi lisiwe barafu la kugandisha fikra za wananchi kudai utawala bora ili tu CCM iendelee kubaki na watu wabaki na fikra chakavu na mawazo mgando. Polisi liepushwe kuwa ICU ya wahanga CCM kutokana na uzembe na siasa zake za kifisadi."[/FONT]
   
Loading...