Shibuda atakuwa ameelewa, kwamba chama ni zaidi ya mtu

Aliposaliti chama chake cha ccm na kuja chadema wananchi walimchagua tena, John Shibuda akawasaliti na chadema akijua alishinda ubunge yeye kama yeye na si chama, kilichompata kila mtu anakijua, kwa sasa sijui atakuwa anafanya shughuli gani, ila nita miss sana mashairi yake bungeni.

Huyu hana tofauti na Hamad rashid wa pemba
 
Hapana hapana hapo mnamuonea, shibuda anasaliti vyama sio wananchi wake, wakati sitta anasaliti wananchi wote kumbuka alivyoichafua katiba ya wananchi

Huu ni ukweli, sitta haaminiki na vyama na haaminiki na wananchi, shibuda haaminiki na vyama lakini wananchi angalao wanamuamini
 
Sasa hv ni mwenyekiti mwenza wa URUWA (UMOJA WA RUFAA YA WANANCHI); vyama visivyokuwa na wabunge wala sera; anajaribu kutafuta political relevance baada ya kutupwa jangwani kwa sababu ya kiburi chake na Ngonjera kashfa zake!!!! Good riddance; may he rest in peace!

Aliposaliti chama chake cha ccm na kuja chadema wananchi walimchagua tena, John Shibuda akawasaliti na chadema akijua alishinda ubunge yeye kama yeye na si chama, kilichompata kila mtu anakijua, kwa sasa sijui atakuwa anafanya shughuli gani, ila nita miss sana mashairi yake bungeni.
 
Aliposaliti chama chake cha ccm na kuja chadema wananchi walimchagua tena, John Shibuda akawasaliti na chadema akijua alishinda ubunge yeye kama yeye na si chama, kilichompata kila mtu anakijua, kwa sasa sijui atakuwa anafanya shughuli gani, ila nita miss sana mashairi yake bungeni.

Shibuda ni mzigo katika chama chochote kile
 
Shibuda ana siasa za kinafiki.Bungeni hakumfai.
Ajikite katika kuandika mashairi katika gazeti la uhuru.
 
Kwani aliyesaliti kAtiba ya wana nchi ni sitta au

Ccm ??
kikwete Na Magufuli.,
Lowassa Na wengine ??
Wakiwemo humo ??

Achen hizo ? Mnapanda mzabibu mnategemea maembe ??

Sasa.magufuli Amefunguka kwamba anajiandaa kwa kura ya maoni !!!

Ccm ni ile ile !!!
 
Sasa hv ni mwenyekiti mwenza wa URUWA (UMOJA WA RUFAA YA WANANCHI); vyama visivyokuwa na wabunge wala sera; anajaribu kutafuta political relevance baada ya kutupwa jangwani kwa sababu ya kiburi chake na Ngonjera kashfa zake!!!! Good riddance; may he rest in peace!

Hahahahahahaaaa rip kiasa shibuda hahahaaa
 
Back
Top Bottom