MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,035
Aliposaliti chama chake cha ccm na kuja chadema wananchi walimchagua tena, John Shibuda akawasaliti na chadema akijua alishinda ubunge yeye kama yeye na si chama, kilichompata kila mtu anakijua, kwa sasa sijui atakuwa anafanya shughuli gani, ila nita miss sana mashairi yake bungeni.