Uchaguzi 2020 Shibuda akemea siasa za majimbo

Akiwa kwenye kampeni huko Maswa Mheshimiwa Shibuda ameungana na wazalendo wengine kukemea siasa za kuwagawa watanzania kupitia majimbo na kanda.
Magufuli na Ukabila wake lakini kampeni hakuzindulia Chato.
Lissu mbali ya kutofika kwao kwa miaka 3 lakini kampeni hakufungulia Ikungi.
Utueleze huyo anayepinga majimbo kampeni amefungulia wapi ambako hata mama yake mzazi alimkataa juzi?
 
Back
Top Bottom