Shibuda aishangaa demokrasia ya CHADEMA

The guy is like a trigger of a loaded gun, it needs wisdom and extra care to handle lest it cause unnecessary damage!
 
Shibuda!!!!!!!!!!,shibuda!!!!!!!!!!!!!!!!!shibudaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!,nakumbuka siku ya msiba wa marehem kanumba alivyotumwa kumwakilisha mzee kanumba akachafua hali ya hewa mpaka clouds wakakatisha matangazo!,huyu jmaa daaah!!!!!!!!!!!!!
 
sHIBUDA BI mSALITI,
SHIBUDA NI CHIZI
SHIBUDA SI MTU WA KUWA CHADEMA
SHIBUDA HAJUI SIASA ZA CHADEMA
SHIBUDA HAIWEZI CHADEMA
SASA SHIBUDA AFUKUZWE CHADEMA AENDE KWA MAFISADI NA WEZI WENZAKE CCM
Mwacheni, atajifukuzisha mwenyewe
 

Penye Nyekundu: CHADEMA iko mbali na demokrasia kama hiyo, ni Wakubwa watano (5) tu wa chama wakiamua hakuna wa kupinga. Wengine wote ni kufuata mkia tu, fuatilia mweyewe maamuzi mengi baada ya uchaguzi mkuu 2010.

Na kwa kuzingatia ukweli huu, ndio maana ukitoa thread yeyote ihusianayo na DEMOKRASIA NDANI YA CHADEMA watoa maoni watakimbilia kushauri thread ifutwe. Thread niliyoiandika yenye kichwa cha habari "Ushahidi wa Udikiteta ndani ya CHADEMA" Ilifungwa baada ya ushawishi wa wanachama wa Chama hicho kumuomba Mods aifute. Ilidumu kwa takriban masaa 24.

Kwa mtindo huu hatutafika!! CHADEMA jirekebisheni.
 
Asante mkuu, nadhani tunajukumu katika naafasi zetu kuelimisha jambo hilo. La sivyo TAIFA Hili litabata mageuzi dhalili. Ni vizuri hata kama ni mageuzi, ambayo ningeliamini ni vizuri yafanyike, lakini ukweli upewe naafasi.
 
Shibuda ametumwa kuvuruga CDM. Jihadharini na mtu huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…