Umeona lakini nilivyokupigia extremes za anarchy na totalitalian systems halafu nikakurudisha kwenye middle way ya party politics na kwa nini ni muhimu kuwa na party vetting process?
Nimetumia extremes kama vehicles za kuona umuhimu wa middle way, tulipokuwa tunaangalia middle points tu tulikuwa hatuzioni katika larger context, sasa ukiingiz extremes zote ndipo unapoona kun umuhimu wa kuwa na middle way somewhere, not too hot, not too cold, just right.Then you can't get iced or torched, and you can actually enjoy the drink/ bath.
Mkenda 1000, mzee unamaanisha Shibula ni msikiti kwa nje lakini ndani ni ukumbi wa Disco??????? Hahaaaa hii kali:nod:
Maelezo yako juu ya huyu bwana ni SADAKTA!! Ninakugongea thanks!!
Ngoja nikujibu kifupi tu kamwambie na Makamba wako naona unamtajataja sana kuwa tunayataka hayo 'matapishi'.Mkuu Kitila,
Hata kuzaliwa upya au kuokoka huja kwa kusikia neno, huyu neno kasikia lini. Hana tofauti na mtu anayehama dhehebu kwa vile kakosa cheo. Naheshimu uhuru wa mtu kuhama chama apendavyo ila kwa huyu jamaa nina wasiwasi naye. Je ana kitu cha ziada ambacho CHADEMA mtafaidika nacho kulinganisha na makombora ya Makamba kuwa huyo ni ''matapishi'' ya CCM. Kwa ufupi huyu jamaa hana staha ya kuwa CHADEMA labda kama chama chenu mmekuwa kokoro-sijui nimeandika sawa- lile linalovua samaki na matakataka mengine
KirangaLakini ukiniambia CHADEMA haina wagombea unaniambia udhaifu wa CHADEMA ambao CHADEMA inatakiwa kuuondoa kutoka ndani ya chama.
Mkiwakumbatia sana hawa rejects wa CCM kesho keshokutwa CCM watawafanyia bonge la takeover ya chama, kama James Mapalala alivyofanyiwa CUF.
Kiranga
Kwanini huu ushauri unaowapa Chadema usiwape CCM kiwe chama safi? Leo unaifundisha Chadema kuondoa udhaifu wa wagombea, kwani unazijua mbinu zao zote inawezekana mbinu mojawapo ni hii ya kuwapata viongozi toka vyama vingine wakiwemo wanaotoka CCM.
Afterall karibu viongozi wote wa vyama vya upinzani wametoka au walikuwa CCM, hebu tuambie mwaka 1980 nani alikuwa kiongozi wa upinzani. Tunavyojua kabla vyama vingi kuanzishwa CCM ilikuwa imehodhi karibu watu wote, sasa unapozuia watu kujiunga na upinzani unataka vyama vingine vitoe wapi wanachama wapya, Kenya? Kiranga wakati mwingine uwe unatumia hata a little common sense you have.
NN umesema kweli yaani anauliza baada ya muda anajijibu mwenyewe anasahau kama aliuliza swala hilo. Tatizo la Kiranga huwa ana muhe muhe wa kujibu haraka haraka bila kuelewa hoja inataka nini ni kama vile amesetiwa na jibu moja tu kichwani. Mfano kama kichwani ameseti jibu la 'hakuna kugombea kama umehama chama', hata akielezwa mbona katiba haisemi hivyo lazima jibu lake liwe hilo hilo moja tu.Kiranga bana....mpaka nimeshindwa kuelewa hata unachobishania tena! Yaani sielewi kabisa. Total obfuscation....labda Mwafrika amekuelewa...
NN umesema kweli yaani anauliza baada ya muda anajijibu mwenyewe anasahau kama aliuliza swala hilo. Tatizo la Kiranga huwa ana muhe muhe wa kujibu haraka haraka bila kuelewa hoja inataka nini ni kama vile amesetiwa na jibu moja tu kichwani. Mfano kama kichwani ameseti jibu la 'hakuna kugombea kama umehama chama', hata akielezwa mbona katiba haisemi hivyo lazima jibu lake liwe hilo hilo moja tu.
Kiranga bana....mpaka nimeshindwa kuelewa hata unachobishania tena! Yaani sielewi kabisa. Total obfuscation....labda Mwafrika amekuelewa...
Kiranga anachofanya sio kibaya, ni lazima wanasiasa muwategemee watu kama Kiranga.
Yeye alishaamua kuwa kumtwanga Kikwete na CCM ni kuua nzi kwa mizinga (jaribu kupata picha) so huwa hapotezi muda huko.
Katika hili hapa amejikuta extreme views zake hazifanyi kazi vizuri na ameamua kurudi katikati.
I am almost always moderate mazee, ila mimi ninaweza kuwa moderate katika a Kaluza-Klein spacetime continuum's 12th spatial dimension, wewe kama one dimensional carbon-based biped ukaniona extremist kwa sababu natumia extremist vehicles to drive moderate views home to you.
Mag3,Jamani anybody but Shibuda - I wouldn't touch this high power electric semi-conductor with a ten-foot-pole ! Huyu bwana kwa kubadilisha rangi hata kinyonga anamwonea wivu - kesho akiahidiwa kula hatasita kuwaacha kwenye mataa ama kwa kurudi CCM au kujitoa kwenye kinyang'anyiro dakika za majeruhi kwani ndivyo alivyo. Shibuda ! Labda aoshwe kwa mkorogo ama maji ya betri lakini kwa sabuni tu kaniki utaisugua weee kumbe rangi yake.
Jamani anybody but Shibuda - I wouldn't touch this high power electric semi-conductor with a ten-foot-pole ! Huyu bwana kwa kubadilisha rangi hata kinyonga anamwonea wivu - kesho akiahidiwa kula hatasita kuwaacha kwenye mataa ama kwa kurudi CCM au kujitoa kwenye kinyang'anyiro dakika za majeruhi kwani ndivyo alivyo. Shibuda ! Labda aoshwe kwa mkorogo ama maji ya betri lakini kwa sabuni tu kaniki utaisugua weee kumbe rangi yake.
Mag3,
Usijepata ugonjwa wa moyo bure?
Hizi bado ni tetesi tu (hakuna uthibitisho wowote uliotolewa kuwa Shibuda kahamia CHADEMA) as far as I know. kinachoongelewa hapa kati yangu na Kiranga (and NN) ni principles za kuhama vyama in general.
Word,
v
Lakini wanasema pia mwanzo wa ngoma lele, na liemwalo lipo na kama halipo laja. Nami nasema la uvundo hili halina ubani, hata liende chama gani hili Bendera lifuatalo upepo lililokosa kuvishwa pete CCM kwa kukosa kuwa chanda, litachovya chovya mpaka limalize buyu la asali kama jenzake Mrema kisha lirejee CCM tu, kwani chombo cha kuzama hakina usukani na sikio la kufa halisikii dawa. Dalili ya mvua ni mawingu, tushayaona mawingu haya aliposhindwa CCM sasa kwa nini tunataka kuchukua jitu liloshindwa ? Huyu ni mfuata nyuki atafutaye asali tu, hajui damu nzito kuliko maji na kwani hakuna watu CHADEMA damu wanaoweza kuchukua kiti hiki ?
Jino la pembe si dawa ya pengo, kanga hazai ugenini mpeni muda wa kukubalika kwanza.
Kuwatumikia wananchi hakuna mipaka eti nyumba hii ni ya Chadema hii ni ya CCM, ukiwa mbunge unakuwa mtumishi wa wote ni sawa na rais anapochaguliwa anakuwa rais wa wananchi wote.
Siwelewi kina Kiranga and co. wanaposema watu wanaohama vyama wasipewe nafasi ya kugombea wana maana gani, kama chama hakikutaki au kimekufanyia faulo na unaona una uwezo kwa nini usitafute chama kingine?
Sote tumeona primaries za CCM zilivyokuwa chafu bado watu wanautetea huo uchafu kwa kulazimisha wagombea waliofanyiwa faulo wafie humo humo. Kama kuna chama wanaona kina ahueni na hewa safi wanauhuru kabisa wa kwenda huko.