Shibuda ahamia CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shibuda ahamia CHADEMA

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mtotigite, Aug 6, 2010.

 1. M

  Mtotigite Member

  #1
  Aug 6, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 38
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Kuna tetesi za uhakika kuwa yule bwana mkubwa aliyetaka kuchukua form za kugombea kanyumba keupe(white house), amehamia chadema na tayari amechukua form za ubunge kupitia jimbo la maswa alilobwagwa kwenye kura za maoni za CCM. Mwenye uhakika amwage mambo hapa.
   
 2. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Litakuwa ni jambo jema katika kuleta changamoto ya kisiasa nchini
   
 3. m

  mkenda1000 Member

  #3
  Aug 6, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  life.jpg
   
 4. Miwani

  Miwani Senior Member

  #4
  Aug 6, 2010
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 182
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkenda 1000, mzee unamaanisha Shibula ni msikiti kwa nje lakini ndani ni ukumbi wa Disco??????? Hahaaaa hii kali:nod:
   
 5. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Mmh hizi picha zina uhusiano gani na Shibuda?
   
 6. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  ni nyepesi nyepesi
   
 7. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Yaani hapo sielewi kabisa!Sioni uhusiano wa picha hizi na hii habari hebu Mkenda tuweke wazi.
   
 8. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huyu kachanganyikiwa,hajui analofanya maskini ya mungu sio ajabu hata hajui kama katuwekea hizi picha humu kwenye jukwaa Uchaguzi.
  Tumsamehe bure.
   
 9. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #9
  Aug 6, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kama ni kweli amelamba dume!
   
 10. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Seleli nae aje pamoja na wapiganaji wengine manake walikuwa waende CCJ sasa haipo si mbaya kama wana nia nzuri na nchi yetu wajiunge chadema.
   
 11. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2010
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kwenye hizo rangi, muandishi ameniacha nime#@&*nyikiwa!
   
 12. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Sipendi kuona watu wanaokataliwa na CCM na kubaki bila jinsi ndio wanakuwa wagombea wa CHADEMA. Naelewa kuna temptation kwa CHADEMA kuwachukua kwa sababu wana name recognition, lakini naweza kumsikia Makamba akisema "Upinzani hawna kitu, wanangojea makombo ya CCM" na katika hili atakuwa right.

  Kama hii habari ni kweli, hapa ninachoona ni kwamba Shibuda anataka ubunge kwa hila zote, na wala hajali siasa za vyama. Jambo la hatari sana hili.

  Hamna kumpa ugombea ubunge wa CHADEMA huyu. Kuna watu wako CHADEMA miaka yote viongozi wa wilaya, wamejenga uanachama, halafu leo mtu atoke CCM mara moja apewe ugombea ubunge? Hata maji ya kijani hayajamuisha mwilini? Hii itakuwa mbaya sana kwa party morale, unles hao watu wa CHADEMA wa wilayani humo nao ni stooges tu wanaofanya siasa za hero worship and stongmen seeking.

  Piga chini Shibuda, from presidential ambitions to no constituency. That's what you get for chickening on Kikwete and having no principle.
   
 13. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #13
  Aug 6, 2010
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,721
  Likes Received: 1,212
  Trophy Points: 280
  Inategemea umeshindwa kivipi kura za maoni. Kama umefanyiwa zengwe, wakati wewe ni kipenzi cha wanachama na wananchi, ni bora kuhama chama na wafuasi wako kama alivyofanya Slaa na kugombea nafasi hiyo hiyo kupitia chama kipya.
   
 14. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #14
  Aug 6, 2010
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,499
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Natamani JF members wangejaliwa kusoma post yako hii! Hoja nzuri sana. Wapigwe chini wote wonderers wa ubunge, hawajali sera za chama, wanajali wapi wanaweza kwenda kujibanza na kubahatisha ubunge
   
 15. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #15
  Aug 6, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ni makosa kuchagua mbunge kwa misingi ya chama achaguliwe kwa uwezo wake hata kama ni mgombea binafsi.
   
 16. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #16
  Aug 6, 2010
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,721
  Likes Received: 1,212
  Trophy Points: 280
  This is good one.

  Kiranga bwana! Utafikiri Tambwe Hiza!
   
 17. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #17
  Aug 6, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Nakubaliana na Kiranga. Hauwezi kushindwa safari za ubunge leo hii halafu kesho asubuhi uka hama chama ili ugombee ubunge huo huo. It's non sense. Vyama vya siasa vina falsafa, sera na taswira tofauti. Principles za vyama vingi haviendani na nyingi hazi fungamani. Huwezi kuniambia leo hii una kubaliana na sera na falsafa za CCM halafu ghafla kesho una kubaliana na sera falsafa za chama kingine. Ni sawa sawa na umpende mwananmke/mwanaume halafu leo hii aachane na wewe halafu kesho tu ukawa na mpenzi mwingine. It will take time, you will move on lakini huku kubadilisha "mapenzi" ghalfa ndiyo inayo tia mashaka.

  Kama ni mfuatiliaji mzuri wa michezo uta gundua kuwa timu nzuri ni zile zinazo kuza vipaji au kununua wachezaji nyota wakiwa on top of their game. Timu ikisha anza tu kununua wachezaji walio fulia au kuchemsha kwenye timu zingine hiyo ni dalili kwamba timu hiyo haina uwezo wa kuattract top talent wakiwa on top of their game. Je kwa nini ni wanasiasa wachache (au hamna kabisa) ambae huki hama CCM na kwenda upinzani wakati bado wana nguvu CCM? Kwa nini wanao hamia upinzani ni wale tu ambao wame kosa kupata nafasi fulani ndani au kupitia CCM?

  Kwa hiyo mkuu wengi wa hawa "wazurulaji" hawa kiaidiii chama especially in the long term. Na wengi wa hawa mahamiaji (si wote) hawa dumu ndani ya vyama vyao vipya. Wengi wanao hamia upinzani baada ya kushindwa uchaguzi CCM huta futa vyeo huko na waki kosa na huko hutokomea au kurudi CCM. Kwa hiyo kuingiza has beens wa CCM inaweza kuonekana kama strategy nzuri short term ila long term una jaza chama na safu ya watu ambao hawata dumu na labda hata kuki punguzia credibility chama chako.
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Aug 6, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Two words for you; Joe Lieberman

  Kwa bongo haya mambo ya falsafa bado sana. Unaweza kuniambia vyama vya siasa Tanzania ni vya mrengo gani?

  Mfano mbovu huu.
   
 19. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #19
  Aug 6, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0

  Mbona Slaa aligeuka na akashinda.
   
 20. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #20
  Aug 6, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  karibu sana Chadema MR. Shibuda

  Naona CCM inaelekea kule KANU ya kenya ilikokuwa mwaka 1987/1988. Wana kanu shupavu walikihama chama na matokeo yake yalionekana 1992.
   
Loading...