Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,144
- 3,459
- Thread starter
- #21
KUZALIWA MARA YA PILI
NORTH NODE(KUSUDI LAKO) & SOUTH NODE(VIZUIZI VYA KUSUDI LAKO)
Habariii za mchana wapendwa.....
Katika Asili huwa kunakitu huwa tunaambiwa kuwa ili uweze kuwa sawa na asili yako inabidi UZALIWE MARA YA PILI
JE, huwa unaposikia KUZALIWA MARA YA PILI NINI MAANA YAKE?
Wengi husema kuzaliwa upya mara ya pili ni kuachana na uzamani na kuelekea upya
Ama husema kuzaliwa mara ya pili ni Kitendo Cha kuachana na mambo ya zamani na kulielekea kusudi lako
Swali je, mtu anaujuaje uzamani wake? Na anauelekea vipi upya wake?
Ok.... Mtu anaujua uzamani wake na uelekeo wake mpya(kusudi lake) kupitia vitu hivi viwili katika Chart yako:-
North Node(kusudi lako) na South Node(Vizuizi vya kusudi lako) hambapo alama hizo huwakilisha uelekeo wa kiroho wa maisha ya mtu alikotoka (South Node) na anakopaswa kuelekea (North Node/Kusudi lako)
Na katika uzamani hutawaliwa na nyota iliyopo katika mlango na upya pia hutawaliwa na nyota husika ya mlango huo
Yaani Mtu unaweza ukaambiwa uuache uzamani wa Simba uelekee upya wa Samaki(kusudi lako)
JE, South node na North node huwakilishwa na alama Gani katika chart yako?
1. North Node (Node ya Kaskazini) Huwakilishwa na alama ya ☊ ambapo huelezea Kusudi la maisha, ukuaji wa kiroho, na maeneo mapya unayopaswa kujifunza maishani.
2. South Node (Nodo ya Kusini) huwakilishwa na alama ☋ Ambapo huoneshaTabia, uzoefu, au maisha ya zamani (karma), eneo la faraja ambalo unapaswa kuachilia au kusawazisha
Kwa kifupi mwanautambuzi hizi node si SAYARI, bali ni sehemu ya njia ya mwezi (moon’s orbit) inapokatiza njia ya jua (ecliptic)
mara nyingi South na North node Zinatumika kuelewa safari ya nafsi ya mtu.
Endapo ungependa kufahamu SOUTH NODE(UZAMANI WAKO) NA NORTH NODE(KUSUDI/UELEKEO WAKO KARIBU in Box
Pia kwa anayehitaji kufahamu juu ya LOVE COMPABILITY/ULINGANIFU WA KIMAPENZI NJOO inbox na chart yako tuangalie vipengele vifuatavyo:-
1. Uhusiano wa majina kinyota
2. Mahusiano ya kinyota(Sun sign (nafsi), Moon sign(Roho), Ascendant(Mwili)
3. Mahusiano ya kinyota kupitia Mchanganyiko wenu wa kinyota yaani moto udongo Upepo Maji
4. Uhusiano wa milango Yenu ya 7(mahusiano) ktk chart zenu
5. Vizuizi vya kiukoo vya kila mtu katika mahusiano(laana ya mahusiano ktk ukoo)
6. Hali za kiuchumi kwa kila mmoja wenu
Mahusiano ni sehemu ya maisha ya mtu ambapo usipowahi kuyafahamu vizuriiii hupoteza Kabisa Ramani ya maisha...
Wengi leo tupo hapa kwa kutokana na kuwa katika mahusiano Ambayo hayafai na yote hayonikuchelewa kuyachungulia mapema kama wanavyofanya wahindi
Sasa hapo utachangia kiasi Cha Tsh 4200/= sawa na kuchangia Tsh 700/= kwa kila kipengele kwa ajili ya uangalizi wa vitu vyote hivyo vyote
Mchango wako ni kwa ajili ya bando na muda wa mwalimu kuwepooo
Karibu