Shetani ni nani?

Shetani ni nani?

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
2,144
Reaction score
3,459
SHETANI NI NANI?

Kwa wale waliokuwa wakiuliza juu ya habari ya shetani.... hii inawahusu

Shetani kwanza kabla ya kujua ni nani na anakazi Gani au katokea wapi inabidi tutambue kuwa Shetani siyo kiumbe wa nje bali ni mfumo wa nguvu upinzani(Resistance power) katika Mwili wa binadamu unaoleta mgawanyiko kati ya nafsi na asili yake ya kweli.

Kwahiyo huyo unaye mwita Shetani ni nguvu/nishati flani ya upinzani wa ndani (ama tunaweza kumwita kama muasi wa nuru)

Kwahiyo wale tunaosema Shetani alinipitia kama katoka sehemu flani... Hapana Shetani kama nishati pinzani ya Nuru yupo NDANI ya Kila mmoja kama sehemu ya nguvu ya ulimwengu inayojitokeza pale ambapo mtu anapinga mwito wa ndani, ukweli, usawa na mwanga wa kiroho.

Kazi yake ni KULETA mgawanyiko ndani ya nafsi.... Kati ya WEMA na UBAYA na pale ubaya unaposhinda ndio tunasema ana shetani

Wazeee wa kale kina kinjekitile gwale, mkwawa, tuntemeke sanga na babu Yako mzaa babu yako waliamini shetani ni kivuli cha nafsi Yako kinachopingana na NAFSI YAKO HALISI ndio likazaliwa neno Kila mtu ana shetani wake

Kwahiyo Shetani sio Ile picha ya Mazombi aliyotuaminisha mzungu Bali ni nishati pinzani ya nafsi iletayo mgawanyiko kati ya nafsi na chanzo chake, na mara nyingi hujidhihirisha kupitia fikra, matendo na maamuzi yanayokwenda kinyume na sheria za uhai.

Unamshindaje Shetani, kwa kujitambua, kupenda, kusamehe, na kutii mwito wako wa ndani, hapo unakuwa umemshinda shetani hata mapepo hutolipukaaaa ibadani

#Swala la kuniuliza kuhusu Shetani ana jinsia Gani... HAKIKISHA kwanza umeangalia kivuli Cha NAFSI YAKO utajua😀😀😀😀😀😀😀
 
Shetani ni malaika alieamua kuwa siriazi na maisha yake
 
Elimu kubwa sana umeitoa.
Tafadhali kama una kitabu kuhusu hiyo elimu au maelezo zaidi nahitaji ndugu
 
Zaburi 14:1​

Mpumbavu husema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.
Atheist 24:5

Mpumbavu husema moyoni, Kuna Mungu; Wamepumbazwa akili zao na kukaririshwa imani uchwara za Mungu. Hakuna awazaye nje ya box.
 
Back
Top Bottom