Shetani ni dude zito ambalo wanadamu hatuliwezi

Imani yangu ni kwamba Mungu wetu muweza wa yote ataweza pia kutusamehe wanadamu wote tukaEnjoy peponi
Usihofu lolote, “Mkataeni Shetani nae atawakimbia…” Haya ni maneno ya Yesu mwenyewe. Ni rahisi tu; mkatae atakumbia tatizo watu wengi wanamkubali ndio maana ana nguvu kwao.
 
Back
Top Bottom