Shetani na mama mkwe wake

Shetani na mama mkwe wake

snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
1,491
Reaction score
1,298
habari wandugu,
natumaini asubuhi inaenda poa,leo nimekumbuka wimbo flani wa kwaya niliousikia kwenye mnuso mmoja weekend iliyopita unaitwa "zunguka zunguka",kuna mahali wanaimba "shetani na mama mkwe wake wamekalia misumari"...je ni kweli shetani ana mama mkwe? huyo mama mkwe atakuwa ni nani?
mnaojua nihabarisheni

cc: watu8 Chimbuvu Bujibuji Filipo, Boflo Madame B Mtambuzi Mbuzi Mzee lara 1 et,al.
 
Last edited by a moderator:
Kama mashetani huzaliana kama binadamu,basi shetani mmoja anaweza kuwa na mama mkwe wake!!!
 
we humjui mama mkwe wa shetani?? Uko dunia gani?
Mbona yuko humu humu JF?
Ni mzinzi, msengenyaji, muongo, mchonganishi, ni mlevi, mtumia dildo, ni msagaji, ana hiana, husda na kila tabia tabia mbaya. Chunguza utamjua tu
habari wandugu,
natumaini asubuhi inaenda poa,leo nimekumbuka wimbo flani wa kwaya niliousikia kwenye mnuso mmoja weekend iliyopita unaitwa "zunguka zunguka",kuna mahali wanaimba "shetani na mama mkwe wake wamekalia misumari"...je ni kweli shetani ana mama mkwe? huyo mama mkwe atakuwa ni nani?
mnaojua nihabarisheni

cc: watu8 Chimbuvu Bujibuji Filipo, Boflo Madame B Mtambuzi Mbuzi Mzee lara 1 et,al.
 
we humjui mama mkwe wa shetani?? Uko dunia gani?
Mbona yuko humu humu JF?
Ni mzinzi, msengenyaji, muongo, mchonganishi, ni mlevi, mtumia dildo, ni msagaji, ana hiana, husda na kila tabia tabia mbaya. Chunguza utamjua tu

ni wewe nini?
 
:becky: Hili swali limenifanya nicheke ajabu teh teh teh .... mama mkwe wa shetani wamekalia misumari teh teh....!:becky:
 
huujui huo wimbo mkuu? una beat z ukweli usipime
 
ifahamike pia kwamba mpaka uwe na mama mkwe lazima uwe umeoa au umeolewa,je shetani ameowa au kuolewa?
 
bila kusahau Mashemegi, shemegi...................taaa
 
:becky: Hili swali limenifanya nicheke ajabu teh teh teh .... mama mkwe wa shetani wamekalia misumari teh teh....!:becky:

Huwa najiuliza msumali walioukalia ni pale pa kugonga nyundo au kwenye ncha kali?
 
shetani anaezungumziwa hapa ni binadamu wenye matendo yasioongozwa na roho wa Mungu,, sioni ajabu kuwa na mama mkwe,, kama mama wa mume ni mtenda maovu na mume pia
 
:becky: Hili swali limenifanya nicheke ajabu teh teh teh .... mama mkwe wa shetani wamekalia misumari teh teh....!:becky:

hahah...ukikalia misumari hicho kisusumbe chake usifanye masikhara...
 
Back
Top Bottom