'Shetani' Mtanashati na amri kuu 10

uwezi kula ugali na maharage uwe na akili kubwa kama hii ama kushinda njaa siku nzima ukawa na akili za namna hii.
 
Shukrani sana Mkuu..
Utapeli kama huu unahitaji wewe mwenyewe kuwa na fedha ya kuandaa mazingira ya utapeli kukamilika na kumuondoa wasiwasi mtapeliwa. Utapeli wa kibongo mtu anakutapeli ili apate hela ya kula kesho, kesho kutwa anakufuata tena akiwa na shida amesahau kama siku si nyingi alikutapeli hahaha
 
Exactly! Wenzetu mtu anakuwa na 'mtaji' wake kabisa kwa ajili ya kufanyia shughuli yake ya Utapeli..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…