'Shetani' Mtanashati na amri kuu 10

Mkuu yeye ni mjanja,anawahi kusoma alafu ndo ananishtua kuwa umetupia dude. Kwa hiyo mimi kuja kusanuka kumbe mwenzangu anapiga revision tu.

Ila kwa hii,naamini nishashinda! Sasa mambo ni Compact 2-3 scorpio me . Ila KO yangu ni matata sana Mkuu.

Labda anishinde kwa hiyo unayoiandaa maana inaonekana matata sana.
 

Hahahah shemela mjanja sana!
Inayofuata nakushtua kimya kimya.. Mpaka matokeo yasome 3-3 alafu ndio tunaanza fair play..
 
Anastahili kuwa mpigaji wa kwanza ktk historia.
 
wizi kama wizi ni kazi isiyo rasimi hivyo basi lazima uwe general objective to accomplished with specific objective, ambapo ni lazima uanze na specific objective ili main (general objective) haya ni mazingira yote yahusikayo katika dili husika mf intelligensia ya mahala pale na ni akina nani watakao dili za voda fasta zen lengo makhususi utalifanikisha bila shida. Tatizo bongo watu wanaiba kwa mihemko mtu yuko kijiweni hana hili wala lile anapigiwa simu "bwana kuna isu njoo" hata hajui insu gani anakurupuka bila kujua mazingira yameandaliwa vip? na ikumbukwe mazingira ya kazi yatakua favourable kama umeyaandaa mwenyewe pili mijizi ya kibongo bado ina mentality kuua raia hapa ndipo natambua umhimu wa maarifa ya kazi husika.
big up
Bold
kitu murua sana hii
 

kitu murua sana hii mkuu
Umenena vyema sana Mkuu LAMBOFGOD

Asante kwa pongezi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…