'Shetani' Mtanashati na amri kuu 10

Hahah! Kuna stori niko naiandaa mkuu, nikaona nisikae kimya sana walau nishee hiki kisa.. Ila nimefarijika kuona imepokelewa vizuri..

Shukrani sana Mkuu STUNTER
 
Hahahah! Lustig alikuwa na kasura ka ujanja ujanja sana..

Shukrani Mkuu kwa kufuatilia makala na pongezi..
 
I salute you The bold......jamaa mpk kumuuzia mtu mnara sio jambo Dogo, watu wa aina hiyo ni kama wanazaliwa na kitu cha ziada kichwani, mtu kama huyo hata akiwa na kiasi gani cha fedha kwenye account hatoacha upigaji kwa vyovyote vile.
Kabisa Mkuu! Inakuwa kana kwamba anahisi hiyo ndio 'destiny' yake.. Aliumbwa kufanya hivyo

Shukrani kwa pongezi..
 
Mbali na uandishi wako ambao mi naweza kuita in 'world-class'. Unavyo structure Heading zako pia world class kiasi kwamba ni ngumu sana mtu kuacha kufungua thread zako. You r very talent kwenye hicho kipengele

Nasubiri kitabu. If possible weka series ya makala zako katika kitabu kimoja i'm truly telling u kazi yako na fikra zako will pay off..
[HASHTAG]#keepITup[/HASHTAG]
 
Asante! Nashukuru sana Mkuu..
 
Leo jumapili???
Au mwenzetu upo Australia?
Utamub wa simulizi mpaka nachapia.

Wenzetu wakiiba wanatumia inteligensia ya hali yajuu, akili nyingi nguvu kidogo, work smart
Kweli kabisa.
Kuna mahali nilisoma, walikuwa wanamchambua jambazi aliyefanikiwa kutoroka gereza la Guantanamo, na baada ya kukamatwa tena, akapata kazi katika kitengo cha jeshi huko majuu.
 
very interesting.
 
Utamub wa simulizi mpaka nachapia.


Kweli kabisa.
Kuna mahali nilisoma, walikuwa wanamchambua jambazi aliyefanikiwa kutoroka gereza la Guantanamo, na baada ya kukamatwa tena, akapata kazi katika kitengo cha jeshi huko majuu.
Imagine ndo angekuwa mtz, kwanza tz haki za wafungwa hazifuatwi ipasavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…