Shetani kasalenda.

Shetani kasalenda.

Mkwaruzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2011
Posts
563
Reaction score
98
Muhindi kaslim, kaambiwa ukila sema Bismillahi.
Akauliza "kwanini?"
Akajibiwa "Usiposema huwa unakula na shetani."
Wiki nzima hakusema, Shetani akamjia, akamwambia kwa ihsani yako bwana mkubwa nakuomba sema unapokula sema BismiLlahi. Nimechoka, nimefanya bawasili kwa kula mipilipili yako, angalau nipumzike tena.
 
naona chenga tu hamna live..............naipotezea hii
 
mbona ipo wazi.... Wakrsto hutanguliza maombi fulani ktk mambo yao kama vile sala ya Maria ili kuepukana na vitu kama nguvu za giza, misukule, mashetani n.k. Hivyo kusema Bismillah ina maana hii "Naanza kwa jina la Mwenyezi Mungu"......
Bila ya kuendelea kuifafanua, naona inatosha na inaweza kufahamika kwa sasa. Na atakae shindwa kuielewa, huyo itabidi nimuandaliwe ubao na chaki kwa kumuelewesha zaid.
 
heheh! shetani kachoka kula pilipili:love:
 
walishaanza kuifanya ngumu hadi imepoteza ladha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom