Shetani hana rafiki, Lipumba apewa siku 8 kueleza sababu za kumtimua Kambaya na wenzake 9

Lumbumba ni lipumbafu Cuf ya Maalim ndio iliyompa umaarufu baadae akaota mapembe hakujua kwamba hakuna yoyote aliepamana na ule MWAMBA na akabaki salama RIP GWIJI LA SIASA ZA TANZANIA MAALIM!
Kwamba Lipumba ni Lipumbafu au sio?🤣🤣
 
Siasa ni mchezo mchafu. Le profeseri bado anaishi zama za kale kimawazo, kimkakati na kimtazamo. Watoto wa mjini watamwaibisha soon
Huyu kwenye siasa amefeli big time, namshauri arudi chuoni kumalizia maisha yaliyobaki, tena atadaidia sana wanafunzi kupitia maandiko na uzoefu wake alioupata kwenye politics za bongo.
 
Huyu kwenye siasa amefeli big time, namshauri arudi chuoni kumalizia maisha yaliyobaki, tena atadaidia sana wanafunzi kupitia maandiko na uzoefu wake alioupata kwenye politics za bongo.
Chuo gani upeleke huyu mzee ?
 
Chuo gani upeleke huyu mzee ?
Ni kweli vitu alivyo navyo kichwani sasa hivi ni irrelevant na kwa dunia hii. Ushauri wa bure; kama ana wajukuu acheze nao, awakorogee cerelac na kuwasindikiza shule au kwenye school bus! Pia asali na kuhudhuria shughuli za kijamii kama misiba na kwenda kuwasalimia wagonjwa.
 
Kweli shetani ni mbaya! Hivi huu uongo unautoaga wapi?
 
Hii story imenipita, what transpired between the duo in a nut shell
 
Kweli shetani ni mbaya! Hivi huu uongo unautoaga wapi?
ukiwa na upande fulani unaoupenda huwezi kujua ukweli , Mutungi alipokuwa anagawa ruzuku ya Cuf kwa akina Malima , Lipumba na Sakaya ulinyamaza kimya
 
Mbwa amekula mbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…