Shetani hana rafiki, Lipumba apewa siku 8 kueleza sababu za kumtimua Kambaya na wenzake 9

Lumbumba ni lipumbafu Cuf ya Maalim ndio iliyompa umaarufu baadae akaota mapembe hakujua kwamba hakuna yoyote aliepamana na ule MWAMBA na akabaki salama RIP GWIJI LA SIASA ZA TANZANIA MAALIM!
Kwamba Lipumba ni Lipumbafu au sio?🤣🤣
 
Siasa ni mchezo mchafu. Le profeseri bado anaishi zama za kale kimawazo, kimkakati na kimtazamo. Watoto wa mjini watamwaibisha soon
Huyu kwenye siasa amefeli big time, namshauri arudi chuoni kumalizia maisha yaliyobaki, tena atadaidia sana wanafunzi kupitia maandiko na uzoefu wake alioupata kwenye politics za bongo.
 
Chuo gani upeleke huyu mzee ?
 
Acha kujishaua hapa. Si mmemfuga huko lumumba
hawa wanajua waulize

cdm.jpeg
 
Chuo gani upeleke huyu mzee ?
Ni kweli vitu alivyo navyo kichwani sasa hivi ni irrelevant na kwa dunia hii. Ushauri wa bure; kama ana wajukuu acheze nao, awakorogee cerelac na kuwasindikiza shule au kwenye school bus! Pia asali na kuhudhuria shughuli za kijamii kama misiba na kwenda kuwasalimia wagonjwa.
 
Kupewa siku hizo wala siyo ishu , bali gumzo ni Lipumba kupewa siku 8 na rafiki yake Francis Mutungi ambaye ni Msajili wa vyama vya siasa , Wawili hawa waliunda umoja wa kumshambulia Maalim Seif na kufanikiwa kukwapua hela yote ya ruzuku ya Cuf kwa kutumia akaunti binafsi , kinyume kabisa cha Sheria za Nchi , ingekuwa tunafuata Katiba leo hii hawa wangekuwa wako jela kwa UTAKATISHAJI pesa .

Kuna taarifa kwamba hela zile za ruzuku ya cuf ambazo zilipatikana kwa juhudi za watu wengine baada ya Lipumba kununuliwa kabla ya uchaguzi Mkuu wa 2015 zilipigwa Mgao pasu kwa pasu na Mutungi alipata mgao wake .

Sasa leo ukisikia Mutungi anamlima barua Lipumba ni lazima upigwe na Mshangao ! AMA KWELI SHETANI HANA RAFIKI ! Leo mpambe wa Lipumba ndugu Kambaya , ambaye ni muuza nyanya wa sokoni Tandale anatimuliwa na bosi wake Lipumba ! Hakika dunia duara .
Kweli shetani ni mbaya! Hivi huu uongo unautoaga wapi?
 
Hii story imenipita, what transpired between the duo in a nut shell
 
Kweli shetani ni mbaya! Hivi huu uongo unautoaga wapi?
ukiwa na upande fulani unaoupenda huwezi kujua ukweli , Mutungi alipokuwa anagawa ruzuku ya Cuf kwa akina Malima , Lipumba na Sakaya ulinyamaza kimya
 
Kupewa siku hizo wala siyo ishu , bali gumzo ni Lipumba kupewa siku 8 na rafiki yake Francis Mutungi ambaye ni Msajili wa vyama vya siasa , Wawili hawa waliunda umoja wa kumshambulia Maalim Seif na kufanikiwa kukwapua hela yote ya ruzuku ya Cuf kwa kutumia akaunti binafsi , kinyume kabisa cha Sheria za Nchi , ingekuwa tunafuata Katiba leo hii hawa wangekuwa wako jela kwa UTAKATISHAJI pesa .

Kuna taarifa kwamba hela zile za ruzuku ya cuf ambazo zilipatikana kwa juhudi za watu wengine baada ya Lipumba kununuliwa kabla ya uchaguzi Mkuu wa 2015 zilipigwa Mgao pasu kwa pasu na Mutungi alipata mgao wake .

Sasa leo ukisikia Mutungi anamlima barua Lipumba ni lazima upigwe na Mshangao ! AMA KWELI SHETANI HANA RAFIKI ! Leo mpambe wa Lipumba ndugu Kambaya , ambaye ni muuza nyanya wa sokoni Tandale anatimuliwa na bosi wake Lipumba ! Hakika dunia duara .
Mbwa amekula mbwa
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom