Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 3,179
- 5,185
Better that at list they know the consequences. Kama kina shishi msukuma wanajua nini kuhusu mikataba DP WORLD nyingine zitasainiwa mbona sana tu 😢 lazima tuogope hata kama tuna wabunge wasomiHoja ya elimu ya mgombea imeshapoteza nguvu kwenye nchi hii. Wasomi tulionao Bungeni na Serikalini wameshindwa kuufanya usomi uonekane kuwa na thamani kwa taifa. They’re all corrupted and are as useless as their uneducated colleagues!