Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,526
- 6,303
nayeye tamaa tu yaan uarasii haumtoshi mpaka akahangaike na olimpiki duh balaa na nusu ajue sasa kuwa wanaomshangiliaga wanamshangilia kinafiki tu, ila kwa mafiisiiemu kawaida sana hata huko kwenye kijiwe chao cha kahawa (bunge) waliomo ni wale wote namba tatu nne hadi tano huko ndio maana hakuna maajabu.