Shetani hakumdanganya Eva/Hawa


Ukisoma siku zote soma Kwa tafakuri na ufahamu.
Walikatazwa kutokula matunda ya mti mmoja tuu ambao ni mti wa ujuzi wa Mema na mabaya.

Embu soma Hii Aya vizuri
Mwanzo 2:
17lakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya, usile, maana siku utakapokula matunda ya mti huo, hakika utakufa.”

Hakusema matunda ya miti iliyokuwepo katikati ya Bustani, kisha aitaje, nop! Bali Kasema matunda ya MTI.

Huo mti WA uzima hawajakatazwa kuula, sema walikuwa haujui.
 

Alafu amri ya kutokula tunda Ipo Sura ya 2. Sio ya Kwanza.

Ukisoma usisome kikasuku
 
Poa! Na kama ni mweza ya yote, anamuwezesha shetani kufanya maovu duniani. Huenda Mungu ni kama kinyonga, wakati mwingine ni shetani.
 
Poa! Na kama ni mweza ya yote, anamuwezesha shetani kufanya maovu duniani. Huenda Mungu ni kama kinyonga, wakati mwingine ni shetani.

kumuelewa Mungu n ngumu kijana,nakusihi nenda milimani ukasali utapata mwanga
 
Kusoma biblia kikasuku unaweza kuchanganyikiwa au kutaka kusafiri bila paspoti.
Sahihi
Swala la kujua mema na mabaya alishawaeleza.mbona

Walijua fika kuwa ukila mti.wa katikati kuna mabaya yatakukuta kuna kitu.kibaya kinaishi pale.Walipoenda Eva alikutana nacho na walipokula mabaya yakaanza

Mungu ndie alikuwa wa kwanza kuwafundisha
 
... kwani waliamriwa wasile matunda ya miti mingapi? Labda tuanzie hapo!

Mwenyezi-Mungu alimwamuru huyo mwanamume, “Waweza kula matunda ya mti wowote katika bustani; lakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya, usile, maana siku utakapokula matunda ya mti huo, hakika utakufa.”, Mwa 2:16-17
 
Vizuri, hujajibu kikasuku, umejibu hoja kwa hoja na kwa kuweka uthibitisho. Big up

Sasa hawa wanaoambiwa na wachungaji wao wafunge wasile mpaka kufa ili wakamwone Yesu na wanatii huwa ni Imani au ujinga?
 
Katika Qu'ran hakuna sehemu ambaya inasema Shatani alimshawishi Hawa wala kutoa lawama moja kuwa Moja kuwa Hawa kama ndio chanzo cha matatizo.

Muislamu kuamini kwamba Hawa ndio chanzo cha matatizo hiyo dhana haina dalili zenye nguvu.
 
Adamu na Hawa wako wapi saivi ????

Jibu ni walikufa wakazikwa.

Sasa Mungu alisema kweli kuwa hakika utakufa au la ?
 
Good, Hapa umesoma kwa uelewa na kunijibu kwa hoja yenye nguvu. Waumini wote wakiwa hivi hakuna muumini atakayedanganywa na viongozi wa dini. Sijui wafunge mpaka kufa eti wakamwone yesu.
 
Good, Hapa umesoma kwa uelewa na kunijibu kwa hoja yenye nguvu. Waumini wote wakiwa hivi hakuna muumini atakayedanganywa na viongozi wa dini. Sijui wafunge mpaka kufa eti wakamwone yesu.
... sasa thibitisha hoja yako kwamba Shetani hakumdanganya Eva/Hawa.
 
Walivyotuletea hizi dini walisema shetani ni nani? Picha ya Yesu au malaika ni nyeupe Ila picha ya shetani ni nyeusi kama mkaa, na jitu la kutisha. Walimaanisha nini? Katika ubatizo, kumbatiza Mwafrika walisema hivi" Kama kweli wewe ni binadamu ninakubatiza kwa kina la Baba ..."
 
Nimemisi cocktails za paradiso na mandazi ya jehanamu achana na grants za kuzimu
 
Shetani na Mungu ni dhana za kufikirika imaginations just an illusion. Hazipo

Ndio maana dhana hizi mbili zina mkanganyiko mkubwa sana (Contradictions) wa kila mtu kujaribu kuelezea anavyo zielewa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…