jf user
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 777
- 625
Wakuu nimeteseka sana, hakika huyu shetani kanitesa.
Sikuweza kufanya chochote wala kuendelea na masomo yangu. Kuanzia mwaka January 16, 2016 nilijawa na huzuni, maisha yangu yalikua ya taabu na mateso hali iliyonifanya nihame chuo na kuamia kingine na hali ikawa hiyo hiyo nikaamua kuachana na masomo ya chuo rasmi.
Nilivumilia, niliteswa sana, kila mtu nilimuona adui na wale niliowategemea walifanywa maadui kwa hiyo maisha yangu yote mpaka sasa 12 November 2018 nipo wenyewe bila rafiki wala tegemeo. Yote hii ni sababu ya huu shetani.
Kikubwa alichokua akikihitaji ni mimi niwe freemason!
Nilijiuliza kwanini sikupata jibu, tena shetani mwingine alipanga kunipiga risasi sababu ya kukataa kumkana Yesu na kujiunga freemason.
Mashambulizi yalikua ni makubwa sana.
Ni kwa msaada wa MUNGU ameniokoa, sio kwa nguvu zangu bali uweza wa Mwenyezi-Mungu.
Hakika MUNGU hawatupi wamtumainiao.
Nguvu za binadamu sio kitu kabisa. Ulimwengu wa kiroho una nguvu sana kwa hiyo sio kwa uweza wangu bali kwa uweza wa MUNGU ameniepusha na hila mbaya za shetani.
Sababu ya huyu shetani kutaka mimi kuwa mfuasi wa shetani ni ili aniteke aichukue nyota yangu. Jamani wachawi huweza kufahamu destiny ya mtu hapa duniani na kuweza kuyafahamu maisha yake hapa duniani hadi mwishoni wa maisha yake kwa kutizama nyota yake.
Sasa kwa zipo nyota za aina mbalimbali kwa mfano wapo wenye nyota za kibiashara, michezo, kielimu, kisanaa, uongozi n.k
Kwa hiyo kama ningemkataa Yesu angefanikiwa kuichukua nyota yangu na ndio ingekua kwaheri kwani umauti ndio ungefuata.
MUNGU ni mwema, hakika MUNGU ni mwema kwa wote wamtumainiao.
Atakayevumilia mpaka mwisho ndie atakaeokolewa.
Kama ningelegalega na kuwatumainia binadamu na kusikiliza ni nini wanasema hakika ningeshapotezwa.
Shetani atashindwa kwa jina la Yesu Kristo Mwana wa MUNGU alie hai.
Yesu Kristo pekee ndie alieniokoa na huu udhalimu wa mwovu shetani.
Lihimidiwe jina la Yesu Kristo lipitalo viumbe wote duniani, Hakika MUNGU ni mwema.
Mnara wa babeli lazima uanguke Yesu asimame.
Hakika shetani lazima ateketee kwani kifo chake kipo karibu sana.
MUNGU ndipo atakapodhihirika kwa walimwengu wote.
Pia niwape pole wale ndugu wote walionyanyaswa na kuteswa na wazazi wao. Biblia inasema maadui wakubwa wa mtu ni watu wa nyumbani kwake.
Watu wengi wamepotezwa sana na watu wao wa karibu kwa hiyo muwe makini sana, napenda mjifunze kutoka kwetu ili mkombolewe.
Daima usimtumainiye binadamu, Biblia inasema amtumainiye binadamu amelaaaniwa.
NB 1: Nawashauri ndugu zangu mumkabidhi Yesu Kristo maisha yenu kwa sababu ndie mkombozi na muokozi wa maisha yenu. Isingelikua ni yeye ningelikua wapi leo hii?
Niwaambieni tuu ndugu zangu hasa wale vijana wenye vipaji, uwezo mkubwa darasani na chochote kile kikubwa walichonacho ndio waliopo hatarini kwani nyota zao ni kubwa kwa hiyo shetani anaziwinda.
Nawashauri hawa watu wamkabidhi Yesu Kristo maisha yao kwani ndie kimbilio lao pekee.
Shetani ni muongo siku zote aminini ninayowaambia wala msidanganyike.
Kwa watakaobisha siku yakiwakuta ndipo watakapojutia.
NB 2: Kuwa makini sana na mtu/watu wanaokwambia umkane Yesu Kristo na MUNGU umuabudu shetani. Kamwe huyo sio mtu mwema kwani anataka kukupoteza. Isikilize sauti ya MUNGU, Ndio isikilize kwa moyo wako wote! Ni MUNGU pekee unayepaswa kumuamini na sio binadamu.
Hao waabudu shetani wanakulazimisha umuabudu shetani ili iwe rahisi wao kukuteka na kukuweka kwenye himaya yao.
Daima watu wa MUNGU hawaguswi! Shetani hawezi chukua nyota ya mpendwa wa MUNGU kwani anakua analindwa na MUNGU hivyo shetani hawezi kuisogelea kamwe.
Usijali watu wanasema nini, maisha yangu ya kesho yatakuaje wakati shetani anakupa mateso makali wala usidanganyike na zawadi zake za maisha ya paradiso. Mwisho wake ni mchungu na wenye mauvivu/mateso makali sana.
Hakika jina la Mwenyezi-Mungu lihimidiwe kwani kaniokoa katika maovu yote haya ya shetani.
MUNGU ni muaminifu kwa watu wake.
I love you GOD.
You saved me from devil and killers.
NB 3: Vifo vingine ni mpango wa shetani na kamwe hayawezi kuwa mapenzi ya MUNGU.
Kwa watu wa MUNGU watalielewa hili.
Mpeni MUNGU maisha yenu enyi wanadamu.
Kimbilieni usalama kwa MUNGU.