Shetani akizeeka anakuwa malaika

Hahahahaaaaaaa!!! Hapo kwenye miti kwa sanaa.
 
Unamaanisha hata
Kiranja Naye atakuja kumjua Mungu na kutubia ukatilia wake anaotufanyia ?

Sidhani.
 
Unamaanisha hata
Kiranja Naye atakuja kumjua Mungu na kutubia ukatilia wake anaotufanyia ?

Sidhani.
Huyu shetani wetu hata akizeeka hataweza kamwe kuwa malaika zaidi atazidi kuwa shetani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…