Shetani akizeeka anakuwa malaika

Na hata matendo yetu ya ushetani au umalaika ndio vimepelekea hao watafiti kufanya utafiti wao
Between mimi nimejaribu kuiweka kwenye lugha rahisi ya kueleweka
 
Inapofikia hapa rafiki wa kweli ni Kristo Yesu pekee au mtume mwingine yeyote kwa imani yako
 
Unaweza kujenga bifu kubwa ujanani na kushindwa kabisa kusamehe lakini kuna kitu cha ajabu mno hukuangazia kwa namna ya pekee kabisa na kujikuta unabadili msimamo
 
Kwenye ujumbe wowote
Kuna fasihi
Kuna lugha picha
Kuna lugha maizi nk
Reply yoyote hueleza mwelekeo wa mtu alichomaanisha

Nimekupata mkuu....na huu ndo uhuru wa kuchangia madam husitumie lugha za matusi,nna uhakika hajatukana mtu....ila katumia lugha ya picha
 
Huyu shetani wetu hata akizeeka hataweza kamwe kuwa malaika zaidi atazidi kuwa shetani
 
Mkuu mshana jr naona unanipa elimu kwa njia shirikishi. Hutaki kabisa kunilisha matilio moja kwa moja. Umegusia mzee Yusufu ni kweli kuna mahala nilisoma inadaiwa eti kaacha taarabu kamrudia Muumba wake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu akizeeka hawezi kujiachia tena kama alivyofanya hapo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…