Salamanda;
Minyonyo bwana ina pahala pake, haswa kipindi cha baridiii, moja kwapa la kulia jingine kwapa la kushoto, mwanamume mbona unapata usingizi na ndoto kabla hujalala. Yaani we acha tu. Mkiwa na mtoi mama anampa anachezea huko nyiye mko kazini yaani we acha tu