Sheria za msingi za kuishi pamoja

Sheria za msingi za kuishi pamoja

Unforgettable

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
5,584
Reaction score
12,439
1. Ukifika sehemu...Salimia
2. Ukiondoka sehemu...Aga
3. Ukisaidiwa...Shukuru
4. Ukiahidi...Tekeleza
5. Ukikosea...Omba msamaha
6. Kama hujaelewa...Uliza
7. Unacho...Gawa kwa wengine
8. Huna...Usione donge
9. Ukivunja...Lipa
10. Kama hupendi...Heshimu
11. Ukipendwa...Onesha upendo
12. Huwezi kusaidia...Usisumbue
13. Ukiharibu...Rekebisha
14. Ukikopa...Lipa
15. Wakikuongelesha....Jibu
16. Ukiwasha...Zima
17. Ukifungua...Funga
18. Ukinunua...Lipa
19. Ukichafua...Safisha
20. .... Hudumia

Ukizifuata sheria hizi, utaona jinsi utakavyoishi na watu vizuri hata kama huna hela, hii ni kwa binadamu wote hata kama ni kiongozi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom