-Sheria za msingi za kuishi pamoja-

-Sheria za msingi za kuishi pamoja-

Junior Lecturer

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
913
Reaction score
584
.
1. Ukifika sehemu... Salimia
2. Ukiondoka sehemu..... *Aga*
3. Ukisaidiwa....... *Shukuru*
4. Ukiahidi...... *Tekeleza*
5. Ukikosea.... *Omba msamaha*
6. Kama hujaelewa..... *Uliza*
7. Unacho... *Gawa kwa wengine*
8. Huna.... *Usione donge*
9. Ukivunja.... *Lipa*
10. Kama hupendi...... *Heshimu*
11. Ukipendwa... *Onesha Upendo*
12. Huwezi kusaidia... *Usisumbue*
13. Ukiharibu... *Rekebisha*
14. Ukikopa.... *Lipa*
15. Wakikuuliza .... *Jibu*
16. Ukiwasha....... *Zima*
17. Ukifungua...... *Funga*
18. Ukinunua.... *Lipa*
19. Ukichafua..... *Safisha*
20. Ukipungiwa..... *PUNGA*


_Ukizifuata sheria hizi, utaona jinsi utakavyoishi na watu vizuri hata kama huna hela,hii ni kwa binadamu wote hata kama ni kiongozi._
Code:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom