UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
- Thread starter
-
- #61
Hapo sasa umeelewa nilikua nazungumzia nini asante kwa kudadavua zaidiInashangaza!!! Askari anakukamata, mko wawili tu kwenye gari, eti abiria wako wa mbele hajafunga mkanda kama wewe dereva, anakuandikia faini ya 30,000. Wakati unalipa "daladala" inapita watu 30 amefunga mkanda dereva peke yake, 29 hawajafunga - hawakamatwi!!. Really st...!!
Ukikandika ndiyo nini?Kweli hii ndo JF ukiskia nyingine photocopy.. Ukandika post unaikagua mara mbili mbili maana kuna wadau wao wanacheki ulipobugi tu.... Napita tu jaman[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Povu Ndo NiniAcha kutoa povu
Hapo mkuu aliyevunja sheria ni yupi?
Makonda aliye shindwa kupitisha sit beltHapo mkuu aliyevunja sheria ni yupi?
Ila kaka Wiliamu tafuta njia nyingine ya kutoka jombaa, acha mambo ya kujikomba asee
MaFrekebisho? Ulitaka kumaanisha nini hapaSawa. Tujibu hoja za mleta mada, baada ya mafrekebisho yenu hayo.
wewe popo nini uwezi hona kuwa kuna mtu ajafunga mkanda.Hapo mkuu aliyevunja sheria ni yupi?
Anawezaje kuona wakati na yy hanaga utaratibu huo.wewe popo nini uwezi hona kuwa kuna mtu ajafunga mkanda.
swissme
Habari rafiki, za siku nyingi. Tumepotezana. Bado uko hapa au umeshahama. Idd njema. Nitumie namba yako in my inbox please.Hapo mkuu aliyevunja sheria ni yupi?
wewe popo nini uwezi hona kuwa kuna mtu ajafunga mkanda.
swissme