Sheria za barabarani hazina usawa, this is stupid!

Inawezekanaje kuzuia watu kujaa kwenye daladala (overcapacity) ili hali hata mwendokasi imekuwa designed kimamisha watu. Nchi haina speed governor/limit
 

Subiri Mkuu wa nchi alikwenda kuchukua uzoefu kwa Kagame miongoni mwa mambo atakayoshughulikia ni hilo, maana kule kwa Kagame abiria wote hukaa kwenye viti na hata bus conductor ana seat yake na ni lazima akae
 
WANAUME WA DAR BUANA!
 
ahahahah itakuwa mtoa mada anawachezea watu vidole si kwa kuchapia tu wakosoaji mkosolewaji wote shida
 
wakuu wamepewa malengo kwa siku zisipungue gari 10 zilizoandikiwa, acha kuwaharibia kazi mkuu!
 
Lekebisha titre mkuu, ni hayo tu. Wako mpendwa Lichadi Magufuri
πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…