AbouZakariya
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 1,646
- 2,403
Mizizi, sio kwamba zisiwepo kabisa, lakini kwetu imekuwa ni vurugu mno utakuta jamaa anakimbiza boda kwa speed Kali huku kashika button ya horn bila sababu yoyote, hawajali hospital hawajali chochote, ni tatizo.Mnapigiwa Horn lakini bado mnagongwa Kila siku,msipopigiwa Horn si mtafanya nchi yote inuke damu
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app