Mpangawangu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2014
- 887
- 965
Wadau wa mambo ya usafirishaji naomba kuelimishwa.
Hivi kiongozi wa Sumatra anamamlaka ya kumkataza mmiliki wa Gari(Hiace)kwenyenjia flani na kumlazimisha kwenda njia nyingine?
Nauliza hili baada ya juzi kwenda Sumatra kuomba leseni ya usafirishaji kati ya Tabora Sikonge umbali wa KM 76,lkn Mkuu wa Sumtra alikataa kutoa leseni kwa madai kuwa amepokea mwongozo toka makao makuu unaokataza gari aina ya Hiace na Noah kupita barabara kuu.
Mkuu huyo alisisitiza kuwa waraka ulianza kutumika tangu tarehe 01/04/2016 na kudai kuwa ni Mabasi makubwa na coaster ndio zinaruhusiwa kupita njia kuu.
Chakushangaza ni kuwa Zipo hiace zimepewa leseni ya njia hiyohiyo tarehe 15/04/2016 na tarehe 24/04/2016 muda ambao Mwongozo umeshaanza kutumika.
Naomba yeyote mwenye uelewa na haya maswala anisaidie hatua za kumchukulia huyu mkuu wa Sumtra wa Mkoa wa Tabora.