BWANA MISOSI
Member
- Feb 11, 2020
- 39
- 25
Eti wana JF, naomba kuuliza sheria inasemaje endapo mtu ameacha kazi halafu anahitaji pesa yake? mimi nilikuwa sekta binafsi pesa yangu ilikuwa NSSF lakini nimeingia serikali pesa yangu inakwenda PSSSF.
Sasa nilikwenda kudai hela zangu wakasema hawawezi kunipa kwa kuwa nimeacha mwenyewe, nikaomba wazihamishie PSSSF kutoka NSSF wakasema haiwezekani, sasa pesa yangu naipataje? mpaka nitapostaaf au? sheria inasemaje? naombeni majibu.