Fikiria wanawake wanadai 50/50 ila hata kama mnalipwa mishahara sawa; eti yeye hataki kuulizwa mshahara wake na sheria yetu iliyopitwa na wakati inamuunga mkono.
Sasa kwa nini mkeo akafanye kazi apate kipato ambacho hakinufaishi familia huko watoto wenu wanalelewa na house girl? Kama una Mke wa namna hiyo ni afadhali akae nyumbani alee watoto wapate malezi bora ya mama