mzeewamakavu
Senior Member
- Aug 10, 2015
- 112
- 32
sawa tuko tayari.tutasubiri matokeo tukiwa mita 200 kwa mujibu wa sheria na kama ilivyokua katika chaguzi zilizopita.swala la eti piga kura alafu kalale sijaona logic yake bado.
Hapo UKAWA wanaweza kukata rufaa na uchaguzi ukasogezwa mbele.Salary Slip,
..kwa hiyo kisheria ukawa wako sahihi.
..tatizo liko kwenye utekelezaji ambapo vituo viko maeneo ambayo yana msongamano.
..kama ni hivyo basi suala hilo inabidi lipelekwe kwenye chombo cha kutunga sheria ambacho ni BUNGE.
..BUNGE ndilo lenye mamlaka ya kubadili sheria hiyo.
..kwa upande mwingine nadhani BUSARA ingetumika kushughulikia suala hili, badala ya kutoa VITISHO.
NB.
..kwa mtizamo wangu ukawa wamekosea kupeleka suala hili mahakamani. ccm wako desperate sasa hivi na usijeshangaa akapatikana jaji kada wa ccm akaamua shauri hili ndivyo-sivyo.
Mita 200 kwangu ni bar so nitakaa kuzilinda.
Kuna watu wanataka kukaa mita 200 kutoka kituo cha kupigia kura.Swali langu watajisaidia wapi wakitaka kunya au kukojoa au maeneo hayo wameaanda vyoo? Mimi naogopa kipindpindu wasije anza kunya hovyo hovyo na kumwaga mikojo kwenye viambaza vya nyumba za watu na kusababisha magonjwa ya milipuko.
Watajisaidia nyumbani kwenu,siasa za sasa hivi zimeingiliwa na watoto kula kulala,kulinda kura hakujaanza leo au wewe ulikuwa bado unanyonya?
1. Mbona huulizi wanajeshi vitani wanajisaidia ndogo na kubwa wapi?
2. Au nyumbani kwenu wote huwa mnapata haja kubwa na ndogo kwa mkupuo?
Yaani vyama vinne vyenye mawaakala wote wanne wakihakikisha kura za mgombea mmoja bado wanahisi haitoshi? nyinyi mna lenu jambo
Hata akili ya bata ina afadhali.Kuna watu wanataka kukaa mita 200 kutoka kituo cha kupigia kura.Swali langu watajisaidia wapi wakitaka kunya au kukojoa au maeneo hayo wameaanda vyoo? Mimi naogopa kipindpindu wasije anza kunya hovyo hovyo na kumwaga mikojo kwenye viambaza vya nyumba za watu na kusababisha magonjwa ya milipuko.