singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Hii siku mtaisubiri sana. Awamu ya nne ilikuwa inaendeshwa kiunyenyekevu. Hii ni awamu ya tano. Hapa ni mwendo wa Sheria na Kanuni. Aende Mahakamani.Siku likishinda mahakamani hiyo faini alipe.
Kama Lina makosa peleka hoja yako mahakamani.Mbona hawalifungii Uhuru kama Shelia inaganya kazi
Apparently you just did...Comment!!!No comments
kwani mahakama ndio imelifungia mawio?Kama Lina makosa peleka hoja yako mahakamani.
Nenda mahakamani.kwani mahakama ndio imelifungia mawio?