Sheria ya kutoa

Sheria ya kutoa

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
2,144
Reaction score
3,459
SHERIA YA KUTOA.

Kutoa ni kupokea. Kutoa na kupokea maisha. Kila uhusiano ni wa kutoa na kuchukua.

Sheria ya Utoaji inasema ukitaka kupokea kitu kwanza wape wengine.

Njia bora ya kupata kile unachotaka ni kuwasaidia wengine kupata kile wanachotaka.

Kutoa na kupokea, kwa nia sahihi, huruhusu mtiririko wa nguvu katika Ulimwengu kutoa kwa Mpaji na kwa Mpokeaji.

Kwa muda unaotoa utakuwa unapokea.
 
Hiyo niliishaichunguza imekaa kiuchumi zaidi

Mfano wewe ukitoa laki moja kwenye mshahara wako ukaenda kushona suti kwa fundi, fubdi naye kachukua hiyo pesa kaenda kununua simu, muuza simu naye kachukua hiyo pesa kapereka benki, then mwisho wa mwezi ushafika hiyo benki inakurudishia laki moja yako ndani ya mshahara.

Pesa ime flow from A -B-C-D-A ni chain

Kutoa ni moyo sio utajiri nakubali asilimia 100% ukitoa utapata tena

Swali je utapiga hatua?

Kabla hujatoa kama unapokea laki mbili bakiza elfu ishirini ambayo huigusi kabisa no matter what happens kisha zingine toa kama matumizi au akiba

Zikikurudia tena mwendo huo huo vinginevyo utabski hapo hapo ulipo miaka nenda rudi kama watumishi wa umma

Ukiwa kwenye chain nyingi ukawa unabakisha asilimia 20% ya pesa unazopata na kuruhusu zingine zizunguke utsjikuta unazo nyingi

Matajiri wanaijua hiyo siri na serikali ndio mchezo wao huo
Wao watakukopesha bumu ila watakua wanakukamua for life, benki itakutunzia pesa yako ila itakamua utakapotaka kuzitoa pia hata ukitoa zote lazima ibaki elfu kumi
 
SHERIA YA KUTOA.

Kutoa ni kupokea. Kutoa na kupokea maisha. Kila uhusiano ni wa kutoa na kuchukua.

Sheria ya Utoaji inasema ukitaka kupokea kitu kwanza wape wengine.

Njia bora ya kupata kile unachotaka ni kuwasaidia wengine kupata kile wanachotaka.

Kutoa na kupokea, kwa nia sahihi, huruhusu mtiririko wa nguvu katika Ulimwengu kutoa kwa Mpaji na kwa Mpokeaji.

Kwa muda unaotoa utakuwa unapokea.
Mbona waumini wa makanisa xyz wanatoa sadaka kila siku, ila wanaotajirika ni wachungaji ambao hawatoi kitu?
 
Mkuu apa nazungumzia kwenye jamii acha nyumba za Ibada Amin nakeambia yule amsaidiae mwenye uhitaji wa kweli basi nae hupokea kwa wakat wake
 
Mbona waumini wa makanisa xyz wanatoa sadaka kila siku, ila wanaotajirika ni wachungaji ambao hawatoi kitu?
Wachungaji wanatajirika kwa sababu wanazijua kanuni za pesa ila wale wadiozijua huwa hawatajiriki

Wachungaji na waganga nchi hii wapo wengi sana, licha ya kupokea sadaka wanaotajirika ni wachache

Mfano hufungua redio au chaneli ya TV kupitia sadaka na kujipigia promo
Wanafahamika mpaka nje ya nchi wengine hufungua viwanda
Mwamposa, TB joshua na wengine wapo huku mikoani wanamiliki mpaka mashule, hata wakatoliki nao ni hivyo hivyo

Ila hao wengine wao wakipokea hufuja pesa ovyo ovyo bila mipango hawafikagi popote
 
Kutoa ni kutoa na kupokea ni kupokea , ukitoa umetoa hakuna cha ukitoa utapokea , hayo ni maneno ya kujifariji tu.
We jamaa huwa unajifanya mjuaji sana,Huwa unajifanya intelligent sana yan.
Waliokwambia elimu ni bahari hawajakosea,Hii Dunia umeikuta Kaka na Hata ulipokuja hukuja kwa plan yako,yupo aliyeplan uje na wewe ukashtukia tu Upo Duniani.
Sasa huyo aliyekuleta Duniani Kuna elimu ameziweka na hzo elimu hazipo hta huko mashuleni,pia ameweka mifumo ya maisha watu waifuate,na usipoifuata utakufa na huo ujinga wako.
Ni Hivi,kutoa kwenda kwa wahitaji ni jambo ambalo hta hao wazungu unaowaabudu wanaijua siri yake,ni sheria ya kimaumbile inayoapply kwa mtu yeyote anayeifanya,haijalishi unamcha Mungu Au laa,Mungu ameiweka sheria hii ya kutoa Kama Zawadi kwa viumbe wake...ni kama ilivyo ile sheria ya UKILA LAZIMA UENDE CHOONI...NA KILA ANAYETOA KWA WAHITAJI MATOKEO CHANYA LAZIMA AYAONE.
Hao wazungu unaowaabudu wanaielewa vzr sana hii sheria ya kutoa na wanaifanyia kazi vizuri sana....unaijua BILLGATES FOUNDATION?....COCACOLA FOUNDATION? Lakini pia si Unaifahamu VODACOM FOUNDATION? Na nyingne nyingi....
Unafahamu kazi za hzo foundations?
Yan watu na Akili zao wameigundua hii siri ya kutoa Afu wewe unakuja na uharo wako kwamba wewe una Akili sana eti ....Akili zenyewe uzitoe wapi kma hta aliyekuumba unamkana,wewe si ni Kama maiti tu Hivi inayotembea?
Acha upuuzi wa kijinga jinga,ukiona watu wanapewa elimu flan usijifanye kimbelembele kudecline idea kana kwamb wewe Unajua sana wakati wewe ni kiumbe wa kawaida sana uliyetokana na shahawa na pengine huna Hata miaka 40 Tangu uje Hapa Duniani...hii Dunia Ina mabilioni ya miaka na hii sheriA ipo Tangu huko wajanja wanaitumia..achaga ujinga.
KILA UNAPOTOA KWA WAHITAJI MUNGU MTOAJI NDO ANAKUJAZIA ZAIDI ULIPOTOA..hii ndo sheria Haijalishi Unataka Au hutaki,hii sheria ipo tu na inafanya kazi kwa yeyote anayeiapply.
 
We jamaa huwa unajifanya mjuaji sana,Huwa unajifanya intelligent sana yan.
Waliokwambia elimu ni bahari hawajakosea,Hii Dunia umeikuta Kaka na Hata ulipokuja hukuja kwa plan yako,yupo aliyeplan uje na wewe ukashtukia tu Upo Duniani.
Sasa huyo aliyekuleta Duniani Kuna elimu ameziweka na hzo elimu hazipo hta huko mashuleni,pia ameweka mifumo ya maisha watu waifuate,na usipoifuata utakufa na huo ujinga wako.
Ni Hivi,kutoa ni jambo ambalo hta hao wazungu unaowaabudu wanaijua siri yake,ni sheria ya kimaumbile inayoapply kwa mtu yeyote anayeifanya,haijalishi unamcha Mungu Au laa,Mungu ameiweka sheria hii ya kutoa Kama Zawadi kwa viumbe wake...ni kama ilivyo ile sheria ya UKILA LAZIMA UENDE CHOONI...KILA ANAYETOA MATOKEO CHANYA LAZIMA AYAONE.
Hao wazungu unaowaabudu wanaielewa vzr sana hii sheria ya kutoa na wanaifanyia kazi vizuri sana....unaijua BILLGATES FOUNDATION?....COCACOLA FOUNDATION? Lakini pia si Unaifahamu VODACOM FOUNDATION? Na nyingne nyingi....
Unafahamu kazi za hzo foundations?
Yan watu na Akili zao wameigundua hii siri ya kutoa Afu wewe unakuja na uharo wako kwamba wewe una Akili sana eti?....Akili zenyewe uzitoe wapi kma hta aliyekuumba unamkana,wewe si ni Kama maiti Hivi inayotembea?
Acha upuuzi wa kijinga jinga,ukiona watu wanapewa elimu flan usijifanye kimbelembele kudecline idea kana kwamb wewe Unajua sana wakati wewe ni kiumbe wa kawaida sana uliyetokana na shahawa na pengine huna Hata miaka 40 Tangu uje Hapa Duniani...hii Dunia Ina mabilioni ya miaka na hii sheriA ipo Tangu huko..achaga ujinga.
KILA UNAPOTOA MUNGU NDO ANAKUJAZIA ZAIDI ULIPOTOA..hii ndo sheria Haijalishi Unataka Au hutaki,hii sheria ipo tu na inafanya kazi kwa yeyote anayeiapply.
Hili gazeti sisomi aseee🚮
 
Umepanic sana mkuu
 
Huwa ananikera sana huyu jamaa..... elimu ni pana sana wazee,Kwenye hii mitandao ukiona mtu kakuletea elimu flan usijifanye wewe ni mjuaji sana,unachotakiwa ni Kukaa na ujifunze na si kupinga pinga tu kila kitu.
Ebu eleza kwa ufupi , upinge hoja zangu.
 
Back
Top Bottom