Shakil Bhanji
Member
- Jan 30, 2017
- 30
- 7
Nina panga nyumba na miaka 3 sasa kwa mwenyenyumba. Sasa gafla kanitumia message na kupandisha kodi kwa sms. Nikamjibu hali ni mbaya na haitowezekana.... amekaaa kimya. sasa nimeenda kwake haelewi ugumu wa maisha. Sasa kisheria inabidi anipe mda gani ili nitafute sehemu nyingine??