Watanzania tunaweza kutengeneza juice na udalali tu.Hawa kina Mengi na Mufuruki wanalalamika nini wakati wamenunua vitalu vya uwindaji vingi wamekuwa madalali tu.
Wanatupigia kelele za nini, kama kweli wanaweza wakajenge kuwanda cha Cement kama alivyofanya Dangote pale Mtwara.Wachimbaji wadogo wanauana kila siku, wakati Mengi ameshikilia maeneo makubwa ya vitalu vya madini yapatayo 50, uzalendo hapo uko wapi?
Hivi mambo haya yanaweza kutokea RWANDA au NIGERIA au KENYA au PAPUA NEW GUINEA?
Wanatupigia kelele za nini, kama kweli wanaweza wakajenge kuwanda cha Cement kama alivyofanya Dangote pale Mtwara.