Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,661
- 46,349
Huwa sioni nguvu kubwa ya serikali katika kushughulikia watu wanaotumia dawa za kulevya kuwakamata na kuwapeleka mahakamani ili wahukumiwe. Sijawahi kusikia kabisa teja amehukumiwa na mahakama kwa matumizi ya dawa za kulevya.
Je, sheria ya kupambana na dawa za kulevya Tanzania inatoa adhabu gani kwa watumiaji/mateja wa dawa za kulevya wanapothibitika?
Je, sheria ya kupambana na dawa za kulevya Tanzania inatoa adhabu gani kwa watumiaji/mateja wa dawa za kulevya wanapothibitika?