Sheria ya barabara inasemaje kuhusu emergency parking?

King999

JF-Expert Member
Aug 15, 2019
2,090
2,000
Niko zangu hapa site, mara kuna gari ikapata emergency ikabid ipaki pemben ili kuirekebisha. (kumbuka hii sio barabara kuu, ipo chini ya Tarura).

Hazijapita dakika 15 wakafika watu wako kwenye Noah wamevaa shati za blue bahari na suruali nyeusi wakamwambia dereva achague kulipa fine au apeleke gari yard. swali langu ni kwamba je hapo dereva kafanya kosa gani? na kwa sheria namba ngapi ya mwaka gani.

Asanteni.


Screenshot_2020-09-16-13-29-23.jpg
 

kinje ketile

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
628
1,000
Ngoja wataalamu waje kudadavua. Kuna bajaj moja inazurura site na michuma ya kufunga magari...ukijichanganya tu ...dk 2 nyingi...unastuka washafunga tairi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom