GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,865
Aliye nyuma ya usukani.Raisi yupi wastaafu au aliyekuwa madarakani.......
Kama mtampa hiyo heshima ya kuwa kiongozi wenu mkuu wa nchi.Kwahiyo Rais hata akitokea nchi jirani naye anakuwa mmiliki?
Ni kama mmiliki tu.Rais siyo mmiliki Bali ni msimamizi (Trustee).
With compensationNi kama mmiliki tu.
Kama sikosei, anaweza kubadilisha matumizi ya ardhi hata kama kilishamilikishwa kwa mtu mwingine.
What if muhusika akikataa:With compensation
Anaweza kukataa tathmini lakini siyo kuachia eneo.What if muhusika akikataa:
1. Kiasi cha fidia kitakachopendekezwa na Serikali?
2. Kufidiwa kwa kuwa hayupo tayari kuliachia eneo lake?
Sikubaliani na wewe hata kidogo!Unataka umiliki maji, madini, gesi na mafuta?
Haya mambo yanaweza yakaleta machafuko kwa sababu iwapo watu binafsi watamiliki madini wanaweza wakapata utajiri na kufadhili makundi tishio kwa usalama wa Taifa.
1. Watainunua kutoka kwa nani? Kwani sasa hivi hawawezi kuinunua?Hii Sheria ni nzuri sana. Kwa nchi zetu. ikiruhisiwa mtu binafsi kumiliki ardhi masikini hawatakuwa na ardhi. Matajiri watainunua yote na kujimilikisha.
Maskini hata pata hata kipande pa kutemea mate.
Ni Sheria bora kabisa ibaki hivyo hivyo.
Waulizeni Wakenya.
Una uhakika na ukisemacho?Hii sheria ni nzuri sana.
Tanzania ndio maana ni nchi ya amani
Labda Tanzania ya Zanzibar! Tanganyika haihusiki na madai yako.Hii sheria ni nzuri sana.
Tanzania ndio maana ni nchi ya amani