Wakati mwingine sisi wanaume tunazidisha
yupo jirani yangu ni chapombe haswa!!
akishalewa anajikojolea hadharani na mchana kweupe
sasa kuchojoa na mdhakari mbele za watoto na kina mama SIO KOSA
MWANAMUME HAKOSEI Sheria No 1
Sheria No 1 kuvaa kata K,
Sheria No 1 kupapaswa makalio USISAHIHISHWE
ni MUNGU TU