Wana JF,
Nimedokezwa kuwa sheria mpya ya mafao ina kifungu cha 43 (6) ambacho kinasomeka kama ifuatavyo:
''This act shall apply to a person or employee employed in the formal or informal or self-employed in the mainland Tanzania and shall not apply to a person who has been insured or registered under any other law.''
Alichonieleza mdokezaji wangu ni kwamba kifungu hiki kinawaondoa wabunge na viongozi wengine wa juu katika ile kadhia ya kusubiri hadi miaka 55 au 60. Kwa maana hiyo, wabunge kwa mfano, wakishamaliza ile miaka 5 watachukua pesa zao kama kawaida.
Kuna mwenye kujua zaidi juu ya hili?
Mkuu pesa ni ile ile hata kama utafikisha miaka 55 baada ya miaka 40. Tena unapewa pesa yako bila riba ikiwezekana utaipata baada ya kufurumishiwa mabomu ya machozi na virungu vya FFU kama wastaafu wa East African Community.Kwenye sheria hiyo kuna kifungu chochote kinachoelezea namna gani amount itakavyokokotolewa na kupata kiasi stahiki cha kumlipa mtu wakati amefikisha miaka 55? Kwa mfano - leo hii nina miaka 25 na kazi imeisha wakati nina milioni 3 NSSF. Baada ya miaka 30, pesa yangu itakuwa ''imekua'' kwa kiwango kile kile (in terms of value)?
Mkakati unaandaliwa na wadau wote kuungana na kuanzisha mtandao wa kupiga kura za hasira kwa walio madarakani..wafanyakazi wote na wategemezi wao wote tupate wapiga kuura 6mil tu ,wote wanaochezea pesa za jasho letu watatoka kwa aibu na kutuachia nchi yetu na serikali mpya itakayoweza kuboresha maslahi na mafao yetu!wanachezea pesa kwenye miradi yao ya siasa kesho wanazuia pesa zetu milele hadi miaka 55?hawajamshirikisha mdau yeyote,nani amewapa mamlaka hayo?wanasema madai migodi,hivi wafanyakazi ni migodi tu??watajuta kukurupuka
Mdau thanx alot kwa taarifa, kweli wakati umefika wa sisi wafanyakazi kuamka sasa, kwanza jamaa alishasema hahitaji kura zetu.
hv itaanza lini hii sheria?
Mkuu pesa ni ile ile hata kama utafikisha miaka 55 baada ya miaka 40. Tena unapewa pesa yako bila riba ikiwezekana utaipata baada ya kufurumishiwa mabomu ya machozi na virungu vya FFU kama wastaafu wa East African Community.
Ebanaa dah hili linawezekana kabisa,ndio maana kwa wepesi kabisa wameamua kupitisha mswaada kandamizi kama huu...[/FONT]
hata me nashangaa hawa wawakilishi wetu walikuwa wap? na mpaka leo siku ya nne hakuna hata mmoja aliyelitplea ufafanuzi hapa...Hakika wametusaliti na wanastahili adhabu...Sasa huu ni us....nge aisee. Wabunge walikuwa wapi wakati huu upuuzi unapita? au haikusomwa bungeni?
hata me nashangaa hawa wawakilishi wetu walikuwa wap? Na mpaka leo siku ya nne hakuna hata mmoja aliyelitplea ufafanuzi hapa...hakika wametusaliti na wanastahili adhabu...