Sheria Kandamizi ya Mawasiliano

Shida ambayo naiona hadi tunafika hapa ni kutokana na mfumo mbovu wa ujenzi wa taasisi za kuisimamia na kuiwajibisha serikali na watendaji wake.

Taasisi imara ya kwanza ni familia. Yaani hauwezi kuzungumzia maendeleo kwenye jamii yoyote kama haujazungumzia familia yenye mitazamo positive juu ya maendeleo ya inchi.

Nitakupa mfano mdogo sana. Mzazi anamwambia mtoto wake kasome uje kuwa msaada katika familia. Na katika msisitizo huo utagundua wazazi huwaambia watoto kuchukua masomo au kozi ambazo zitawasaidia kuoata kazi zenye mishahara mizuri, marupurupu au mianya mizuri ya udokozi.

Leo tunavijana wengi wakosa fursa za ajira wamekimbilia kazi za jeshi, ualimu na kadhalika ili kujipatia mikopo ya kuendesha maisha yao na kusaidia familia zao. Sasa unategemea kwa kukosa uzalendo katika taifa kutoka ngazi ya taifa tunapataje viongozi waadilifu na wapenda maendeleo?

Kama kila familia inawekeza katika udokozi na tamaa then tutarajie kuwa na watendaji waserikali na viongozi wa serikali wala rushwa, wenye tamaa, wavivu kufiriki na wasiojua nini taifa linahitaji katika kufanya maendeleo.

Kwa kifupi tunafuga wenyewe nyoka wanaotuuma.
Hata mitandao ya kijamii kama JF inanyemelewa kufungwa hasa wakati wa uchaguzi ili tubaki gizani. Nchi hii ni hatari sana!
 
Hata mitandao ya kijamii kama JF inanyemelewa kufungwa hasa wakati wa uchaguzi ili tubaki gizani. Nchi hii ni hatari sana!
Halafu nahisi jf imeshakuwa compromised. Nahisi kuna walimwengu wa TSS wanarun moderation.
 
Hata mitandao ya kijamii kama JF inanyemelewa kufungwa hasa wakati wa uchaguzi ili tubaki gizani. Nchi hii ni hatari sana!
Tunavyo kaa kimya na kuwa watazamaji hayo hayana budi kutukia.
Lakini wafanye basi hata kwa hekima na utu. Waifanye nchi ya chama kushika hatamu tena, ili kusiwe na umuhimu na sababu za kumalizia wananchi risasi. Ajabu sana, ili risasi zisi expire huko stoo tafuta stan mashamba na umwagie zote mwilini. Mungu aturehemu.
 
Back
Top Bottom