Sheria juu ya Maambukizi ya Ukimwi kwa makusudi

Ty_Vigilante

JF-Expert Member
Jan 19, 2015
2,890
2,446
Unawezaje kuwa Solicitor ( Advocate) juu ya mtu aliyeambukizwa VVU kwa makusudi ukizingatia adhabu juu ya mshtakiwa Na kuifunza jamii kuwa ni kosa kisheria kufanya Maambukizi kwa mtu mwingne ambaye hana virusi!!? Na Kama kuna CASE LAW yoyote inayo support suit yako ndani ya T.L.R either reported or not.. Please my Learnt fellows
 
Acha uvivu fanya research. Nenda hata Kisutu tu hapo watu kibao wamekuwa convicted
 
kufanya ngono ni makubaliano kati ya watu wawili km amebakwa au kulawitiwa ni sawa sheria itachukua mkondo wake.
Mfano. Umekutana na mwanamke kweny dala dala, amekutega. Na ww umejilengesha ukatoa namba. Mwisho wa siku mkakutana guest house mkafanya ngono. Kumbe huyo mwansmke ni muathiruka halafu ww hukutumia condom hv unafikiri kuna kesi hapo?
Kwa wanafunzi ni sawa sbb kuna kesi inayowalinda na wale walioko chini ya miaka 18 lkn kuanzia hapo hakuna kesi jomba.
Km ukishindwa tumia condom, km unataka uwe muathirika ni juu yako
 
Shida umemeza matango pori, ndo mkija court mnambela tuu, baada ya kutafuta ushahidi wa kushinda case unatafuta (P.O) sorry unajua hata (P.O) ni nini ama utaanza kuuliza,...poor Stanley

Sent using Jamii Forums mobile app
Ona unauliza qns za kipuuzi inaoneka ndo akili zako izo....niulize somethin sp deep abt legal practice na sio takataka za p.o ni nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madogo kama nyie tukiona majina yenu yanaombwa kuingizwa kwenye Roll huwa tunaweka pingamizi cause ni aibu kwa hii profession, naona ada ya mzazi wako imeenda bure, Namuonea huruma, na kizazi hiki cha HAPA KAZI, watch out usije pelekwa Mombasa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…