Sheria juu ya Maambukizi ya Ukimwi kwa makusudi

Attack? You are not even attacked here. Control your emotions plz.
Im Adjourned here. You are given a short recess to get your shits together before I proceed.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah sheria imevamiwa.! Anyway magugu na ngano wacha vikue pamoja.
Sioni haja ya kuendelea na debate yako, cause haina faida kwangu , at last tutafaidisha profession zingine waone wanasheria hawana umoja, nadhani kwa upande wangu kama unaielewa legal fraternity ungesema hapa ungefanya hivi au hivi, sio kuponda na kusimanga kama wewe ni mjuzi sanaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kufanya ngono ni makubaliano kati ya watu wawili km amebakwa au kulawitiwa ni sawa sheria itachukua mkondo wake.
Mfano. Umekutana na mwanamke kweny dala dala, amekutega. Na ww umejilengesha ukatoa namba. Mwisho wa siku mkakutana guest house mkafanya ngono. Kumbe huyo mwansmke ni muathiruka halafu ww hukutumia condom hv unafikiri kuna kesi hapo?
Kwa wanafunzi ni sawa sbb kuna kesi inayowalinda na wale walioko chini ya miaka 18 lkn kuanzia hapo hakuna kesi jomba.
Km ukishindwa tumia condom, km unataka uwe muathirika ni juu yako
Hili jibu limejitosheleza.
 
Back
Top Bottom