Sheria inasemaje kuhusu hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria inasemaje kuhusu hili?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by baina, Apr 29, 2011.

 1. baina

  baina JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni mwajiriwa ( permanent & pensionable) na mwana ppf. Jambo la ajabu mwajiri anataka kuniweka kwenye ajira ya mkataba, je kwakuwa mimi kwa maana nyingine sitakuwa wa ajira ya kudumu na kwa hiyo sitapata pensheni je mwajiri havunji mkataba wangu mimi na ppf? Je, itakapotokea redunduncy nina haki ya kudai fidia toka kwa mwajiri kwa kuvunja mkataba wangu na ppf kwani michango yangu tayari itakuwa haina maana tena kwa upande wa pensheni? Je, ikitokea nikapewa redunduncy ni haki ya kudai vitu gani?
   
Loading...